Ujumbe mzuri wa kumiss mpenzi wako
Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni, hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda
Pata meseji moto moto za kuchangamsha na kusisimua mahusiano yako. Meseji za chombezo, salamu za asubuhi, mchana, jioni na usiku. pia unaweza kupakua app ya sms za mahaba inayopatikana PlayStore kwa simu za Android.
Comments
Post a Comment