MANENO MATAMU YA KUMWAMBIA MAPENZI WAKO
Jinsi ulivyo wewe ndivyo nipendavyo.
Tabasamu lako zuri linanifanya niyeyuke.
Unaponiaga napata shida kukuruhusu uende.
Umenielewa vizuri, ni kama unasoma mawazo yangu
Ninapokushika nashisi kulegea kwenye magoti.
Wewe ni rafiki yangu, najifunza vitu vingi kwako,ndiye mtu ambae nimekuchagua, ndio mpenzi wa maisha yangu. ni wangu pekee, wewe ndio kila kitu kwangu.
Comments
Post a Comment