SMS ya kumwomba mpenzi wako akuthamini
Naomba niwe CHOZI ndani ya JICHO lako,
Nikitoka tu NIDONDOKE kwenye SHAVU lako,Ukinipangusa NIGANDE kwenye KIGANJA chako,
Kwa sababu NAKUPENDA sana
Pata meseji moto moto za kuchangamsha na kusisimua mahusiano yako. Meseji za chombezo, salamu za asubuhi, mchana, jioni na usiku. pia unaweza kupakua app ya sms za mahaba inayopatikana PlayStore kwa simu za Android.
Comments
Post a Comment